...🚨🚨𝗛𝗨𝗞𝗨 𝗙𝗘𝗜 𝗧𝗢𝗧𝗢 𝗡𝗔 𝗞𝗔𝗚𝗢𝗠𝗔 ,𝗞𝗨𝗟𝗘 𝗠𝗣𝗔𝗡𝗭𝗨 𝗡𝗔 𝗞𝗜𝗕𝗨 🚨🇹🇿 𝐅𝐄𝐈𝐒𝐀𝐋 𝐒𝐀𝐋𝐔𝐌 AKUBALI KUJIUNGA NA SIMBA SC! Mchezaji mahiri anayevalia jezi namba 6️⃣ amekubali mkataba wa miaka miwili na S…
...🚨🚨𝗕𝗔𝗟𝗔𝗔 𝗝𝗜𝗡𝗚𝗜𝗡𝗘 𝗟𝗔 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 ,𝗞𝗨𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗞𝗜𝗠𝗕𝗜𝗔 𝗨𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔𝗡𝗜 🇹🇿🇿🇦 Maelezo zaidi kuhusu Rushine kujiunga na Simba! ✅ Makubaliano yalifikiwa wiki iliyopita, lakini yaliwekwa siri wakati pande zote mbili z…
...🚨🚨𝗕𝗘𝗞𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗠𝗘𝗟𝗢𝗗𝗜 𝗦𝗨𝗡𝗗𝗢𝗪𝗡𝗦 𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗠𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔𝗭𝗜 🚨🇿🇦 DILI LIMEKAMILIKA: Vigogo wa Tanzania, Simba SC, wamethibitishwa kukamilisha usajili wa Rushine De Reuck (29) kutoka Mamelodi Sundowns. …
...🚨🚨𝗧𝗔𝗧𝗛𝗠𝗜𝗡𝗜 𝗭𝗔 𝗨𝗞𝗨𝗧𝗔 𝗪𝗔 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 Huu ni ukuta wa Simba Sc (CB's) waliomaliza msimu wa 2024/25 NBC Premier League. Mabeki hawa wakati waligawana dakika kutokana na sababu m…
...🚨🚨🚨𝗔𝗥𝗧𝗛𝗨𝗥 𝗕𝗔𝗗𝗔 𝗔𝗠𝗪𝗔𝗚𝗔 𝗪𝗜𝗡𝗢 𝗞𝗪𝗔 𝗩𝗜𝗚𝗢𝗚𝗢 𝗔𝗟𝗚𝗘𝗥𝗜𝗔 JS Kabylie imekamilisha usajili wa kiungo Mtanzania mwenye umri wa miaka 22, Josaphat Arthur Bada, kutoka Singida Black Stars. Mchezaji huyo w…
..🚨🚨🚨𝗞𝗜𝗕𝗨 𝗔𝗧𝗘𝗠𝗪𝗔 𝗧𝗜𝗠𝗨 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆 𝐍𝐄𝐖𝐒 ⤵️ Mshambuliaji wa Klabu ya Simba SC, Kibu Denis , hatoshiriki michuano ya CHAN itakayoanza kuchezwa mwezi wa Agosti…
...🚨🚨🚨𝗧𝗔𝗝𝗜𝗥𝗜 𝗔𝗠𝗘𝗦𝗛𝗔𝗦𝗘𝗠𝗔 ,𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗠𝗣𝗬𝗔 𝗜𝗡𝗔𝗞𝗨𝗝𝗔 NAJUA MIOYO YA WANASIMBA IMEBEBA MASWALI MENGI - MO DEWJI Anaandika Muwekezaji wa Klabu ya Simba SC Mohamed Dewji>/h> "Najua mioyo …
...🚨🚨🚨𝗖𝗛𝗘 𝗠𝗔𝗟𝗢𝗡𝗘 𝗞𝗨𝗧𝗨𝗔 𝗨𝗦𝗠 𝗔𝗟𝗚𝗘𝗥 𝗬𝗔 𝗔𝗟𝗚𝗘𝗥𝗜𝗔 𝗠𝗦𝗜𝗠𝗨 𝗨𝗝𝗔𝗢 USM Alger wameanzisha mazungumzo rasmi kumsajili beki wa Kimataifa wa Cameroon, Che Malone kutoka Simba SC. Mazungumzo yanaendelea
...🚨🚨𝗞𝗢𝗖𝗛𝗔 𝗠𝗣𝗬𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗕𝗔𝗟𝗔𝗔 𝗧𝗨𝗣𝗨 HUYUU APAAA KOCHA MPYA WA YANGA Anaitwa Romain Folz (35) alizaliwa Bordeaux, Ufaransa 🇫🇷 Huyu kocha amefanya kazi sehemu zifuatazo👇 2025 A…
...🚨🚨𝗚𝗘𝗡𝗞,𝗕𝗘𝗥𝗞𝗔𝗡𝗘,𝗕𝗥𝗘𝗦𝗧 𝗭𝗔𝗠𝗡𝗬𝗔𝗧𝗜𝗔 𝗠𝗣𝗔𝗡𝗭𝗨 🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒.....Simba Sports Club🇹🇿 imepokea Ofa Tatu za Kumuuza Elie Mpanzu kutoka klabu tatu tofauti 🇲🇦RS Berkane (Botola Pro) 🇫🇷…
...🚨🚨𝗞𝗜𝗕𝗨 𝗠𝗞𝗔𝗡𝗗𝗔𝗝𝗜 𝗠𝗕𝗜𝗢𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗖𝗛𝗘𝗭𝗔 𝗟𝗜𝗚𝗜 𝗠𝗢𝗝𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗘𝗦𝗦𝗜 𝗠𝗔𝗥𝗘𝗞𝗔𝗡𝗜 Exclusive🚨Nyota wa Simba Kibu Denis,emeanza majaribio ya wiki mbili kwenye klabu moja kubwa inayo shiriki ligi kuu ya Marekani (MLS). Klabu hiyo…