Posts

...🚨🚨𝗛𝗔𝗞𝗜𝗠𝗜 𝗝𝗘𝗟𝗔 𝗠𝗜𝗔𝗞𝗔 𝟭𝟱

🚨 𝗛𝗔𝗕𝗔𝗥𝗜 𝗞𝗨𝗨: Achraf Hakimi anakabiliwa na kifungo cha hadi miaka 15 jela kwa mashitaka ya ubakaji. Daima amesisitiza kuwa hana hatia na kudai kuwa alisingiziwa kwa sababu ya kutaka kupata fedha. Ofisi ya mwendesha mashtaka imeomba kesi hiyo iende mahakamani kwa ajili ya kufunguliwa mashitaka rasmi dhidi ya mchezaji huyo. (Chanzo: Le Parisien). #halisimax #halisinewsflash #halisimediatz

Post a Comment

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...