المشاركات

..🚨🚨𝗠𝗨𝗧𝗔𝗟𝗘 𝗠𝗕𝗜𝗢𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗧𝗘𝗠𝗪𝗔 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔


 🚨🇿🇲 #EXCLUSIVE: 


Joshua Mutale (23) yuko mbioni kuondoka Simba SC Tanzania katika dirisha hili la usajili!


Ofa kwa kiungo mshambuliaji huyo tayari zimewasilishwa na zipo mezani zikichakatwa na uongozi wa klabu.


Taarifa zinasema Kocha Fadlu Davids ameruhusu mchezaji huyo kuondoka, lakini kwa sharti moja — Simba lazima impate mbadala wake wa kiwango cha juu. Kama hilo halitatimia, Mutale atasalia Msimbazi.


Mutale bado ni sehemu ya mipango ila ana nafasi kubwa ya kutimkia klabu nyingine kabla ya dirisha kufungwa.


Ni suala la muda tu! 


Tufollow  kwa taarifa zaidi...

إرسال تعليق

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...