Posts

..🚨🚨𝗕𝗔𝗝𝗔𝗕𝗘𝗥 𝗡𝗜 𝗠𝗧𝗨 𝗡𝗔 𝗡𝗨𝗦𝗨,𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗘𝗣𝗔𝗧𝗔 𝗠𝗧𝗨

 





Why Mohamed Bajaber Not Allan Okello??


Nilitoa Taarifa Taangu Dirisha dogo kuwa Allan Okello alishasaini mkataba wa Awali na Simba..

Na Mpango wa Simba walikuwa wanamhitaji Allan Okello dirisha dogo La Usajiri.Lakini Simba hawakufanikiwa kumpata Allan Okello dirisha dogo baada Ya Club yake Vipers Fc Kumzuia kuondoa dirisha dogo,Wakawaomba Simba kumuchia Allan Okello dirisha kubwa yaani Dirisha la Sasa.Vipper Walishindwa kumuchia na Kutoa sababu kuwa Hawawezi kumuachia Mchezaji Muhimu Ambaye anamsaada mkubwa kwenye kikosi Katika ya Msimu...


Makubalino na Vippers na Simba yalikuwa ni kuuziana Mchezaji Katika dirisha Kubwa la Usajiri...


Mpango wa Simba ulikuja kubadilika baada ya Kumuona Mohamed Bajaber aliyekuwa Katika Kiwango bora sana na Police Kenya, Ni mchezaji aliyekuwa na Mchango Mkubwa Sana kwa Timu ya Police, Simba waliendelea kufanya monitoring kwa Mohamed Bajaber wakaridhika na Uwezo wake.


Then Simba wakaamua kuacha Mpango wa Kumsajiri Allan Okello na Kuingia Moja kwa Moja Kufanya mazungumzo na Wasimamizi Mohamed Bajaber kuhitaji Huduma yake ,Dili limekamilika kwa 100% ,Na Sasa Mchezaji yupo Misri na Kikosi cha Simba...


Mohamed Bajaber Ni Quality Kubwa Sana,Kwa Wafatiliwe wa Ligi Ya Kenya 🇰🇪 wanamjua ubora wake hasa akitokea Pembeni ya Uwanja 🔥🔥🔥🔥


#kendrickinfo #kennymedia #Kennyupdates #Kennyupdates #KennySports

#michezo

Post a Comment

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...