π¨πΉπΏ πππππππππ: klabu ya Simba SC bado haijamaliza usajili — kwani licha ya namba ya wachezaji wa wa kigeni tayari wamejaza nafasi zote 12 za wachezaji wa kimataifa. π―
Vyanzo vinaeleza: Endapo watampata mchezaji wa kiwango cha juu wanayemlenga, basi kuna uwezekano mkubwa kwamba Lionel Ateba π¨π² au Joshua Mutale πΏπ² wataachwa kwenye kikosi. Uamuzi huo tayari umefikishwa ndani ya klabu.
Simba SC wamepokea: — Ofa kadhaa kwa ajiliya Ateba na ofa moja rasmi kwa Mutale, lakini klabu imewajulisha vilabu vinavyovutiwa kuwa “hakutakuwa na kuondoka mpaka mbadala sahihi apatikane.”
π Masharti ya kuvunja mikataba ya wachezaji hao wote wawili yanatajwa kuwa “magumu sana,” jambo linalomaanisha kuwa dili halitakuwa rahisi isipokuwa nafasi bora ijitokeze.