𝗚𝗔𝗠𝗢𝗡𝗗𝗜 𝗞𝗨𝗜𝗙𝗜𝗞𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 𝗦𝗧𝗔𝗥𝗦 𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗔𝗛𝗔𝗗𝗜 SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Kocha wa Singida Black Stars, Miguel Angel Gamondi raia wa Argentina kuwa Kaimu kocha mkuu wa …