HUYUU APAAA KOCHA MPYA WA YANGA
Anaitwa Romain Folz (35) alizaliwa Bordeaux, Ufaransa ๐ซ๐ท
Huyu kocha amefanya kazi sehemu zifuatazo๐
2025 Alikuwa Mkurugenzi wa michezo wa Olympique Akbou ya Algeria ๐ฉ๐ฟ
2024 Alikuwa kocha msaidizi wa Mamelodi Sundown ya South Africa ๐ฟ๐ฆ
2023 Alikuwa kocha mkuu wa Horoya ya Guinea ๐ฌ๐ณ
2022 Alikuwa kocha mkuu wa Amazilu ya South Africa ๐ฟ๐ฆ
2021 Alikuwa kocha Mkuu wa Township Rollers ya Botswana ๐ง๐ผ
2019 Alikuwa kocha Msaidizi wa Pyramid ya Egypt ๐ช๐ฌ
2018 Alikuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Uganda ๐บ๐ฌ
Huyu kocha ana UEFA Pro Licence na Pro Licence ya CONMEBOL (America).
Huyu kocha ni Mhuimini wa (4-3-3) na timu yake ina-press kinoma.
Wananchi Remember the Name Romain Folz, balaa jingine ndani ya NBC Premier League ๐