Mkataba wa Aziz Ki na Wydad ni wa miezi 3 tu.
Iwapo Wydad wanamtaka kwa mkataba wa kudumu wa miaka 2, basi lazima wafanye maamuzi kabla ya Julai 10.
Bado ana mwaka mmoja wa mkataba na Yanga na ana haki ya kurejea.
Hatimaye ukweli umewekwa wazi baada ya taarifa nyingi zisizo sahihi.