Ų§ŁŁ
Ų“Ų§Ų±ŁŲ§ŲŖ
...šØšØšØššš šš šŖš š¬šš”šš ššØš§šš ššš šš¦š šššš¬ š¬š š šš¦š„š
šØ Ismaily SC wako mbioni kumteua Miloud Hamdi kuwa kocha mkuu!
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 54 kwa sasa anaiongoza Young Africans na hapo awali amewahi kuifundisha timu za USM Alger, RS Berkane, CS Constantine, JS Kabylie, na nyinginezo.
š§ Mafanikio:
š Bingwa wa Ligi Kuu na Kombe la Tanzania (2025)
š Bingwa wa Ligi Kuu ya Algeria (2016)
š„ Mshindi wa Pili – Ligi ya Mabingwa Afrika (2015/16)
š Bingwa wa Ligue 2 ya Ufaransa (2012)
š„ Nafasi ya 3 – Ligi Kuu ya Kuwait (2018)
š
Kocha Bora wa Ligi ya Algeria (2016)
š Finalisti – Tuzo ya Kocha Bora Afrika CAF (2016)