المشاركات
...🚨🚨𝗧𝗔𝗕𝗢𝗥𝗔 𝗛𝗔𝗪𝗔𝗣𝗢𝗜,𝗪𝗔𝗦𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗚𝗛𝗔𝗡𝗔
TABORA YAOPOA KIFAA GHANA UNDER 23
Tabora United wamemsajili beki wa kushoto wa Ghana U23, William Denkyi kwa mkataba wa miaka mitatu kama mchezaji huru. 🇬🇭✨
Ameshinda Ligi Kuu ya Ghana msimu uliopita akiwa na Bibiani GoldStars. Aliwahi pia kuchezea Liberty Professionals na Hearts of Oak.
Usajili mzuri kabisa