المشاركات
..🚨🚨𝗬𝗔 𝗡𝗚𝗢𝗠𝗔 𝗬𝗔𝗠𝗞𝗨𝗧𝗔 𝗖𝗛𝗘 𝗠𝗔𝗟𝗢𝗡𝗘
Baada ya Fabrice Ngoma kuagana na mashabiki wa Simba kabla ya klabu kumuaga rasmi.
Habari nilizo nazo ni kuwa Chemalone pia anaweza kuondoka klabuni hapo kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na baadhi ya Viongozi huku sababu ikiwa ni kutoridhishwa na kiwango chake kwenye siku za hivi karibuni..
Mnyama ni kama ameanza mapema sana kuchukua reaction mara baada ya msimu huu kutoka patuputuendelee kusubiri ni nani mwingine atafuata na je wataachwa wangapi kuelekea msimu ujao?
Follow us.