المشاركات
...🚨🚨𝗦𝗜𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗥𝗔𝗦𝗠𝗜 𝗔𝗔𝗚𝗔 𝗔𝗭𝗔𝗠 𝗞𝗨𝗧𝗜𝗠𝗞𝗜𝗔 𝗞𝗔𝗜𝗭𝗘𝗥 𝗖𝗛𝗜𝗘𝗙𝗦
Hadithi ya Gibril Sillah nchini Tanzania imefikia tamati.
Ingawa Yanga SC walionyesha nia ya kumsajili, mshambuliaji huyo wa Gambia ameamua hatasaini nao. Anatafuta changamoto mpya nje ya nchi.
Sillah alihusika kwenye mabao 31 katika mechi 68 akiwa na Azam FC — takwimu nzuri sana kwa kijana huyu wa Kigambia.
Sillah ambaye alipewa Kaizer Chiefs, lakini bado hakuna uamuzi uliofanywa.
Sasa ameondoka Dar es Salaam na amerudi nyumbani Gambia.
Follow Us..