𝐑𝐀𝐒𝐌𝐈: Ayoub Lakred amejiunga na FUS Rabat kwa mkataba wa miaka miwili! 🔴⚪️ Kipa huyo kutoka Morocco ameagana na vigogo wa Tanzania, Simba SC, na kurejea nyumbani. Mkataba wake ulisainiwa rasmi leo asubuhi.