ุงูู
ุดุงุฑูุงุช
..๐จ๐จ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ผ๐๐ผ ๐๐ผ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ผ ๐๐๐ผ๐๐๐
Kiungo wa Team ya Simba SC Tanzania raia wa Kongo รlie Mpanzu (23) amekuwa akifuatiliwa kwa ukaribu na Team za Ulaya baada ya kuonesha kiwango kikubwa kwenye michuano ya cafconfederationcup iliyomalizika hivi karibuni.
Inasemekana team za side Brest (France) RC Genk ya Belgium na Sl Malmรถ ya Swiden zote zmeonesha nia ya kumtaka Ellie Mpanzu kwa ajili ya msimu ujao.