المشاركات
...🚨🚨🚨𝗢𝗞𝗘𝗟𝗟𝗢 𝗞𝗨𝗧𝗨𝗔 𝗠𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔𝗭𝗜
🚨TRANSFER UPDATE; Allan Okelo kijana kutoka Uganda ambaye amesumbua sana ligi iliyoisha ni jina ambalo linatajwa sana mitaa ya Kariakoo,Klabu ya Simba inaangalia uwezekano wa kuinasa saini ya mshambuliaji wa Vipers Allan Okelo ambaye amakewa na msimu mzuri sana akifunga magoli 19. Anatajwa kuwa mbadala wa Mukwala kama ataondoka msimu huu.