المشاركات

...🚨🚨𝗕𝗔𝗥𝗨𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗢𝗞𝗔 𝗪𝗜𝗭𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗜𝗖𝗛𝗘𝗭𝗢 𝗬𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔

Barua hiyo inayoelezea utayari wa uwanja wa mkapa kwa Derby kati ya Simba dhidi ya Yanga imetumwa leo hii kwa klabu ya Simba kutoka wizara ya utamaduni,Sanaa na michezo kuwaruhusu Simba Kufanya Mazoezi yao ya mwisho siku ya jumamosi Kabla ya mechi siku ya jumapili UNAIONA DERBY TAREHE 15?? TUPE MAONI YAKO

إرسال تعليق

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...