🇨🇩JEAN OTHOS BALEKE TO MTIBWA SUGAR
Mshambuliaji wa zamani wa TP mazembe,Simba SC na Yanga SC ambaye kwasasa ni Mchezaji huru Hana timu baada ya kuvunjiwa mkataba na klabu ya Yanga SC.
Jean Baleke amekutana na Uongozi wa klabu ya Mtibwa Sugar kwaajili ya maongezi na mchezaji huyo kwaajili ya kupata huduma yake msimu ujao Baada ya Mtibwa Sugar kufanikiwa kupanda ligi kuu.
Baleke amekutana na kiongozi wa Mtibwa Sugar jijini Dar es salaam na Mtibwa Sugar wamempa ofa nzuri mshambuliaji huyo muda wowote kuanzia sasa atasaini kuwatumikia walima miwa.