المشاركات
....🚨🚨𝗣𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗜𝗧𝗔 𝗠𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔𝗭𝗜
Klabu ya Simba inahusishwa na nia ya kuwasajili wachezaji mbalimbali katika dirisha Kubwa la usajili la June 2025. Miongoni mwa majina yanayotajwa ni pamoja na:
Foday Trawally
Abdelhay Forsy
Sabri Kondo
Charles Senfuko
Kambou Dramane
Conte
Ibrahima Seck
Allan Okello
Lasinne Kouma
Aidha, kuna taarifa kuwa baadhi ya wachezaji kama Fabrice Ngoma na Ayoub Lakred,Okejepha,Ateba,Debora huenda wakaachwa katika kipindi cha usajili .