Ameandika mchambuzi ALEX ngereza ✍️✍️
Simba hawawezi kuchukua kumbe lolote msimu huu, hawana kikosi cha kushindana na Yanga ambaye yupo kwenye mashindano yote ya Tanzania ligi na FA lakini kwenye shirikisho, hawana timu ya kushindana na RS Berkane hata kama watafika fainali
Je unakubaliana nae?