المشاركات

MUIGIZAJI HAWA AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA

Muigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Hawa almaarufu Carina amefariki Dunia akiwa Nchini India ambako alikuwa anapatiwa matibabu Hawa alitarajiwa kurejea Nchini leo Aprili 15, 2025 baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa kutibu tatizo la tumbo lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu.

إرسال تعليق

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...