المشاركات
KIPA STELLENBOSCH KUIKOSA SIMBA
Kipa na nahodha wa Stellenbosch ya Afrika Kusini, Sage Stephens anaikosa mechi ya Jumapili dhidi ya Simba nusu fainali mkondo wa kwanza Kombe Shirikisho Afrika kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano alizooneshwa.
Kadi ya tatu alipata mchezo uliyopita dhidi ya Zamalek.
Sage ni miongoni mwa wachezaji tegemeo kikosini hapo, akisifika sazidi kwa kuchomoa michomo inayoelekezwa golini kwake
#kennysports #kennymedia #kennyupdates