المشاركات
HUYU HAPA MDHAMINI MPYA WA VIFAA SIMBA
38 Bilioni kwa Miaka mitano.
5.6 Bilioni kila mwaka.
Ongezeko la 10% kwa kila mwaka.
FAIDA ZA KIMKATABA.
1. Ujenzi wa Uwanja wa Bunju (Watu Elf10 hadi 12).
2. Gari la IRIZAR .
3. Media production.
4. Ujenzi wa Ofisi Mpya
5. Kukuza Vipaji ( pesa cash kutolewa)
6. Pre seasons sponsors
7. Medica room
8. Simba Day ( pesa itatolewa cash m100)
9. Motisha kwa Wacheza ( M470 cash)
10. Jez za brand kubwa dunia
11. Ujenzi wa Viwanja vya mazoezi