المشاركات
FEITOTO NJIA NYEUPE JANGWANI
💣🚨Masaa 7 yaliyopita FEI toto ameshare insta story yake iliyoambatana na maneno yanayosomeka..👇👇
"FAILA SUFI IS COMING BACK WHERE IS SUPPOSED TO BE" 🙄🙄
"Faila Sufi anarudi mahali anapostahili kuwa."
imewekwa wazi juu ya klabu ya Yanga kuhitaji huduma ya kiungo huyo kwaara nyingine tena donge nono lipo mezani kilichobaki ni kufikia muafaka tu.✍️
Wananchi mupo tayari kumpokea mtoto wa visiwani Zanzibar? 😀
#kennymedia #KennySports #kennyupdates