𝐇𝐀𝐓𝐔𝐉𝐀𝐂𝐇𝐄𝐙𝐀 𝐕𝐈𝐙𝐔𝐑𝐈 - 𝐏𝐀𝐍𝐓𝐄𝐕
"Bao tulilopata mwishoni mwa First Half lilisaidia kuongeza kitu kwa Wachezaji wangu akilini mwao sababu niliwaeleza ni lazima tufunge bao Kipindi cha kwanza, Iliwaongezea Kujiamini tuliporejea Kipindi cha Pili"
"Tumepata matokeo mazuri, 0-3 kwa Ugenini ni Positive result lakini sijafurahishwa na mchezo sababu wachezaji wangu wamecheza kwa asilimia chache sana vile nilivyotaka, Tunarudi mazoezi kurekebisha sababu ni lazima wacheze kama ambavyo nataka, Mechi bado haijaisha hii tuna Dakika zingine za kucheza wiki ijayo"
Meneja wa Simba SC, Nikolaev Pantev akihojiwa na Eswatini TV
