🚨Sababu za klabu ya Simba SC kumchukua kocha Hemed Suleiman " Morocco " kurithi mikoba ya kocha Fadlu Davids ni ;
A: Elimu yake " Pro license ya CAF " anaweza kutumika katika michuano yote ya kimataifa ya Afrika ( AFCON , CAFCL / CAFCC , CHAN , NBC PL ETC ) maana yake ana vigezo vya kukaa katika benchi la ufundi
B: Uzoefu wake " amefundisha timu ya taifa ya Zanzibar Heroes hadi timu ya taifa ya Tanzania ' Taifa Stars ' ( amepata uzoefu katika michuano ya kimataifa like a AFCON na CHAN , wanatarajia mazuri kwenye CAFCL msimu huu
:::Mpaka sasa ni Simba SC 🤝🏻 Kocha Hemed Suleiman Morocco kuelekea mechi za ndani na za nje kupambania msimu wa mafanikio kwa Mnyama

