HUYUU APAAA KOCHA MPYA WA YANGA
Anaitwa Romain Folz (35) alizaliwa Bordeaux, Ufaransa π«π·
Huyu kocha amefanya kazi sehemu zifuatazoπ
2025 Alikuwa Mkurugenzi wa michezo wa Olympique Akbou ya Algeria π©πΏ
2024 Alikuwa kocha msaidizi wa Mamelodi Sundown ya South Africa πΏπ¦
2023 Alikuwa kocha mkuu wa Horoya ya Guinea π¬π³
2022 Alikuwa kocha mkuu wa Amazilu ya South Africa πΏπ¦
2021 Alikuwa kocha Mkuu wa Township Rollers ya Botswana π§πΌ
2019 Alikuwa kocha Msaidizi wa Pyramid ya Egypt πͺπ¬
2018 Alikuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Uganda πΊπ¬
Huyu kocha ana UEFA Pro Licence na Pro Licence ya CONMEBOL (America).
Huyu kocha ni Mhuimini wa (4-3-3) na timu yake ina-press kinoma.
Wananchi Remember the Name Romain Folz, balaa jingine ndani ya NBC Premier League π