Klabu ya Wydad Athletic Club (Wydad AC) ya nchini Morocco iko mbioni kufanya mageuzi makubwa ndani ya kikosi chake, baada ya kocha mkuu kuamua kupunguza idadi ya wachezaji kwa kiasi kikubwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi, wachezaji 21 wanatarajiwa kuondoka klabuni, baada ya kutajwa kuwa hawapo tena kwenye mipango ya timu hiyo kwa msimu ujao. š§³ Baadhi ya wachezaji wanaotarajiwa kuondoka: Rayhi Obeng Aziz Ki El Motie Malsa Arthur Pedrinho Boutouil Nassik Bouhra Harkass ...pamoja na wachezaji wengine kadhaa. š Hatua hii ni sehemu ya mchakato wa ujenzi upya wa kikosi, ambapo uongozi wa klabu unalenga kurejesha ushindani wa hali ya juu katika mashindano ya ndani na ya kimataifa. š Mashabiki na wachambuzi wa soka wanatazama kwa karibu kuona ni nani atachukua nafasi ya wanaoondoka, huku dirisha la usajili likiendelea kuwaka moto.
Posts
....šØšØššššš šš ššš š£šš”šš ,šŖšš”ššš”š šš¬ ššØš ššØšš§š
šØ š š®š®šŗššš¶ š š®šøššÆšš® šššš¼šøš® šš¹š®šÆš šš® šŖšš±š®š± šš ❌š“