Posts
...🚨🚨𝗚𝗔𝗠𝗢𝗡𝗗𝗜 𝗞𝗨𝗧𝗨𝗔 𝗧𝗘𝗡𝗔 𝗕𝗢𝗡𝗚𝗢
🚨 Habari ya kipekee: Singida Black Stars wamewasiliana rasmi na Miguel Gamondi kwa ajili ya kuwa kocha wao mkuu msimu ujao.
Mazungumzo ya awali tayari yameanza — na kuna uwezekano mkubwa Gamondi akarudi tena Tanzania baada ya kipindi chake cha awali na Yanga SC.
Sambaza taarifa, mengi zaidi yanakuja hivi punde. 👀