Huu ni ukuta wa Simba Sc (CB's) waliomaliza msimu wa 2024/25 NBC Premier League.
Mabeki hawa wakati waligawana dakika kutokana na sababu mbalimbali
Moja ya CB mmoja hatakua sehemu ya kikosi cha Simba Sc kuelekea msimu ujao (Che Malone Fondoh)
Huyu Malone Fondoh ndio alikua beki kiongozi wa Simba Sc pale nyuma ila ndio CB aliyefanya makosa mengi binafsi na kuigharimu timu yake.
Ni uhakika Simba Sc itaingia sokoni kutafuta mchezaji wa kati (CB) kubeba mikoba ya Che Malone Fondoh
Wanabaki Abdulrazak Hamza na Karabou Chamou kwenye eneo hilo
Ukiachana na Simba Sc kutafuta CB bora zaidi kiufundi, kimbinu lakini na pia mwenye Kariba ya UONGOZI
Lazima timu iwe na beki kiongozi pale nyuma,sasa Hamza na Karabou naona sifa za kiuongozi kwenye kupanga na kuweka mambo sawa pale nyuma