JS Kabylie imekamilisha usajili wa kiungo Mtanzania mwenye umri wa miaka 22, Josaphat Arthur Bada, kutoka Singida Black Stars.
Mchezaji huyo wa zamani wa ASEC Mimosas amesaini mkataba wa miaka mitatu na atajiunga rasmi na miamba hiyo ya Algeria kwa msimu ujao.