USM Alger wameanzisha mazungumzo rasmi kumsajili beki wa Kimataifa wa Cameroon, Che Malone kutoka Simba SC. Mazungumzo yanaendelea