Posts

...🚨🚨𝗧𝗔𝗕𝗢𝗥𝗔 𝗛𝗔𝗪𝗔𝗣𝗢𝗜,𝗪𝗔𝗦𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗚𝗛𝗔𝗡𝗔

TABORA YAOPOA KIFAA GHANA UNDER 23 Tabora United wamemsajili beki wa kushoto wa Ghana U23, William Denkyi kwa mkataba wa miaka mitatu kama mchezaji huru. 🇬🇭✨ Ameshinda Ligi Kuu ya Ghana msimu uliopita akiwa na Bibiani GoldStars. Aliwahi pia kuchezea Liberty Professionals na Hearts of Oak. Usajili mzuri kabisa

Post a Comment

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...