Posts
...🚨🚨𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗔𝗪𝗔𝗜𝗧𝗔 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔,𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗝𝗨𝗡𝗘 𝟮𝟱 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗞𝗔𝗣𝗔
Raisi wa Tanzania Samia Suluhu Hassani ,Leo amekutana na Kufanya Kikao na Viongozi wa Simba ya Yanga ikulu ,Maongezi hayo yameleta tija Mara Baada ya Kutoa mwelekeo wa dabi ya kariakoo iliyo ahirisha march 8 mwaka Huu na Kupangiwa Tarehe 15 June.
Mda mchache Baada ya kutoka taarifa ya kikao kati ya raisi na vigogo hao wa kariakoo Bodi ya ligi imekuja na Taarifa ya kuuahirisha mchezo huo tena mpaka june 25 2025,
Maswali ya kujiuliza
Je ,Matakwa ya Yanga Yametimizwa?
Bodi ya Ligi imekosa msimamo?
Raisi Anaweza kufanyia Maamuzi Vyombo Vyenye dhamana ya michezo??
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPO KWENYE COMMENT