Posts

...🚨🚨𝗪𝗔𝗦𝗜𝗣𝗢𝗣𝗘𝗟𝗘𝗞𝗔 𝗧𝗜𝗠𝗨 ,𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔

Klabu ya Yanga wasipopeleka timu uwanjani Juni 15, 2025 kwa mujibu wa sheria na kanuni za mpira wa miguu basi watakutana na rungu zito. 1. Watakatwa alama 15 2. Watapigwa faini ya Milioni 5 3. Kiongozi aliyesababisha timu kutofika uwanjani atafungiwa kwa kipindi cha miezi 12.
Yanga wakikatwa alama 15 watabaki na alama 58 na michezo miwili mkononi, akishinda mechi hizo atafikisha jumla ya alama 64. Kwasasa ana alama 73, simba sc 72. NB: SIMBA ATATANGAZWA UBINGWA

Post a Comment

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...