Posts

..πŸš¨πŸš¨π™‘π™„π™‚π™Šπ™‚π™Š π™π™‡π˜Όπ™”π˜Ό π™’π˜Όπ™ˆπ™‰π™”π™€π™ˆπ™€π™‡π™€π˜Ό π™ˆπ™‹π˜Όπ™‰π™•π™

Kiungo wa Team ya Simba SC Tanzania raia wa Kongo Γ‰lie Mpanzu (23) amekuwa akifuatiliwa kwa ukaribu na Team za Ulaya baada ya kuonesha kiwango kikubwa kwenye michuano ya cafconfederationcup iliyomalizika hivi karibuni.
Inasemekana team za side Brest (France) RC Genk ya Belgium na Sl MalmΓΆ ya Swiden zote zmeonesha nia ya kumtaka Ellie Mpanzu kwa ajili ya msimu ujao.

Post a Comment

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...