Posts

....πŸš¨πŸš¨π—˜π—–π—¨π—” π—–π—˜π—Ÿπ—˜π—¦π—§π—œπ—‘ π—žπ—¨π—§π—¨π—” π— π—¦π—œπ— π—•π—”π—­π—œ π— π—¦π—œπ— π—¨ 𝗨𝗝𝗔𝗒

Klabu ya Zoman FC imekataa ofa rasmi iliyotumwa na Yanga SC ili kupata saini ya Mshambuliaji Ecua CΓ©lestin (23) ambaye yupo kwa mkopo ASEC Mimosas

Imeripotiwa kuwa ofa ya Yanga SC hajawavutia Zoman FC ambao wanammiliki mchezaji huyo na klabu hiyo inasikiliza ofa zingine kubwa zaidi kutoka klabu zingine

Pia mchezaji huyo anafatiliwa kwa ukaribu na scout wa Simba SC ili kurudisha ripoti kwa benchi la ufundi katika mchakato wa usaili kuelekea msimu ujao

Post a Comment

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...