Posts

...πŸš¨π—•π—”π—”π——π—” 𝗬𝗔 π—¦π—œπ— π—•π—”,π—¬π—”π—‘π—šπ—” π—•π—”π—Ÿπ—˜π—žπ—˜ 𝗔𝗣𝗔𝗧𝗔 π——π—œπ—Ÿπ—œ

πŸ‡¨πŸ‡©JEAN OTHOS BALEKE TO MTIBWA SUGAR

Mshambuliaji wa zamani wa TP mazembe,Simba SC na Yanga SC ambaye kwasasa ni Mchezaji huru Hana timu baada ya kuvunjiwa mkataba na klabu ya Yanga SC.
Jean Baleke amekutana na Uongozi wa klabu ya Mtibwa Sugar kwaajili ya maongezi na mchezaji huyo kwaajili ya kupata huduma yake msimu ujao Baada ya Mtibwa Sugar kufanikiwa kupanda ligi kuu. Baleke amekutana na kiongozi wa Mtibwa Sugar jijini Dar es salaam na Mtibwa Sugar wamempa ofa nzuri mshambuliaji huyo muda wowote kuanzia sasa atasaini kuwatumikia walima miwa.

1 comment

  1. Bora maana kasota sana huyu
NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...