Posts
πΎππππππΌ ππΌπ½ππ½πΌ πΎππππππππΎπ πππΌπππ
RASMI: Klabu ya Chelsea imeshinda Ubingwa wa UEFA Conference League kwa ushindi wa 4-1 dhidi ya Real Betis katika mchezo wa fainali.
Ushindi wao dhidi ya timu ya Uhispania katika jiji la Poland la Wroclaw umetokana na mabao ya Enzo Fernandez, Nicolas Jackson, Jadon Sancho, na Moises Caicedo.
Inamaanisha taji la kwanza katika msimu wa kwanza kwa mkufunzi wa Chelsea Enzo Maresca, ambaye aliiongoza timu hiyo ya London Magharibi hadi nafasi ya nne kwenye Ligi ya Premia, akiwa na kikosi cha vijana zaidi katika historia ya mashindano hayo.
Chelsea inakuwa timu ya kwanza kushinda mataji yote ya Ulaya !!π₯π₯
π Ligi ya Mabingwa π Ligi ya Europa π Ligi ya Comference League.