Muigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Hawa almaarufu Carina amefariki Dunia akiwa Nchini India ambako alikuwa anapatiwa matibabu
Hawa alitarajiwa kurejea Nchini leo Aprili 15, 2025 baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa kutibu tatizo la tumbo lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu.