Posts

JEZI ZA BARCELONA KUANDIKWA JINA LA TRAVIS SCOTT

Kwa mujibu wa ripoti kutokea kampuni ya Spotify zinaeleza kuwa klabu ya Barcelona inatarajiwa kuvaa jezi zenye nembo yenye jina la Travis Scott sehemu ya mbele kuelekea mchezo ujao wa El Classico. Mwanamuziki Travis amemshinda mwanamziki mwenzake Taylor Swift kwenye kinyang'anyiro hicho. Huu umekuwa utaratibu kwa Barcelona kutokana na mkataba wao na Spotify. Mkataba wa Barcelona na Spotfy unaelekeza kuwa Spotify ina haki ya kumtangaza msanii yoyote kwenye jezi za Barcelona kwenye michezo mikubwa kama El Classico. #kennysports #kennymedia

Post a Comment

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...