Posts

HUYU HAPA MDHAMINI MPYA WA VIFAA SIMBA

38 Bilioni kwa Miaka mitano. 5.6 Bilioni kila mwaka. Ongezeko la 10% kwa kila mwaka. FAIDA ZA KIMKATABA. 1. Ujenzi wa Uwanja wa Bunju (Watu Elf10 hadi 12). 2. Gari la IRIZAR . 3. Media production. 4. Ujenzi wa Ofisi Mpya 5. Kukuza Vipaji ( pesa cash kutolewa) 6. Pre seasons sponsors 7. Medica room 8. Simba Day ( pesa itatolewa cash m100) 9. Motisha kwa Wacheza ( M470 cash) 10. Jez za brand kubwa dunia 11. Ujenzi wa Viwanja vya mazoezi

Post a Comment

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...